Muna baada ya kukosolewa kuhusu ushuhuda wa Patrick ‘hakuna aliyeumia zaidi yangu’ at September 06, 2018 Mwanadada Muna Love amefunguka kuzungumza kwanini anaendelea kutumia ushuhuda wa mtoto wake Patrick ambaye alifariki miezi kadhaa iliyopita...